DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Nipo macho mpk kieleweke.Nimehangaika na basketball usiku kucha wa jana na Alfajiri yote hela zikajaa, jioni football ikaondoka na hela zangu. Bahati mbaya nilikuwa najua game ya LAC na GSW ina hela lkn akili ilikuwa imechoka mno na kichwa kinausingizi balaa nikatupia tu mikeka ya moja kwa moja na sasa hivi ndio nalala.
Ila wiki hii nzima napumzika football kwanza. Ngoja nideal na tips za basketball
Nmetia stake ndefu sn kwa Boston Celtic ,Direct win 1.65 odds