Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahahaha, Lite nakunywa kushushia mkuu ... natanguliza ka K-Vant kadogo kale saaaaafi !

Ila Chelsea na mwenzake Leicester City wamenivuruga sn leo.
Pole mkuu, ila k-vant ina kauafadhari kidogo lakini sisi huku tumezoea kunywa tanzania konyagi ile kubwa ya 10,000/= huku tunaiita 'bombadier' ile inachangamsha kidogo
 
Sevilla hajafungwa nyumbani kwake muda mrefu sana. Naamini hawezi kufungwa hapo, betis akijitahidi sana atapata sare
 
Wakuu premier bet nimewatumia pesa mpaka saivi siioni.
 
Back
Top Bottom