Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1. Man city
2. Pardeborn
3. Wolvehampton
4. TSN
5. Peterhead (Scotland)

Hizi ndiyo timu zangu majembe kwenye betting, zitakuangusha kwa bahati mbaya tu.
BINAFSI,
Nkikutana na wafuatao.

Moyo wangu unafarijika sana.

NA NAJUA HII NI HELA NJE NJE

Ntawapanga kulingana na jinsi nnavowakubali.

1.Leckwiya/al duhail
Huyu anapatakna ligi ya Qatar ligi kuu

2.Auckland City
Huyu anapatikana New Zealand ligi kuu.

3. Kitchee
Huyu anapatkana China (Hongkong) ligi daraja LA kwanza

4. Sheriff
Huyu anapatikana ligi kuu ya Moldova.

Pia ana timu nyingn ya vijana iko daraja la 3
inaitwa "Sherrif Tiraspol" nayo ni moto wa kuotea mbali.

5.Dudelange F91
Huyu anapatikana Ligi ya Luxemburg

6.Skendija
Huyu anapatikana ligi daraja LA kwanza Macedonia.

7.Levadia Tallin
Huyu anapatikana ligi ya Estonia

8. Crusaders
Huyu anapakana ligi ya north Ireland

9. Apollon Limasso
Huyu anapatikana ligi ya Cyprus

10. Pardeborn
Huyu anapatikana ligi ya ujeruman d3

11. Wolves
Hii iko championship england

12. TSN
Huyu anapatikana kule Wales

13.Flora Tallin
Huyu nae anapatikana kule kule Estonia.

14. Differdange
Hii inapatkana kule ligi kuu Luxemburg

15. Man city
Hii iko England EPL

16. Infornet
Hii iko Estonia,
Ni moto wa kuotea mbali hasa hasa ikiwa uwanja wa nyumban.

17. Akropolis
Hii iko Sweden ligi daraja LA kwanza.

18. PSG
Hii iko France ligi kuu.

19.Seled
Hii iko Slovakia ligi daraja LA kwanza

20. Albirex Niigata.
Hii inapatkana ligi kuu Singapore.

HII NDO TOP 20 YANGU KWNY TIMU ZENYE UHAKIKA WA KUSHINDA MECHI KWA 99.9%

TENA KWA USHINDI WA KISHINDO UKIAMBATANA NA MAGOLI 3+
 
Nasave hii kwa rahisi ya rejea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…