xyz123
Kumpa Inter draw au win naona anaweza kuua huyo. Zenit yuko poa, Ajax pia na Napoli
mkuu root, inter ana historia nzuri ya kusimamisha matokeo. katika mechi zake 10 za europa zilizopita, kashinda mechi 6 na kadroo mechi nne. hilo unalionaje.?
though nafikiria katika hiyo position ya inter nimtoe niweke vilareal na sevila GG.
MKEKA USIO CHANIKA
Wolfsburg V Inter 1
Napoli V Donamo 1
Zenit V Torino 1
Total odds 4.4 tupia 50,000=220,000/= bila jasho
aisee baharia hii tim ya Root chelsea imenifanya vibaya mno.. yan ibracadabra alivopata red nilijua tayari mkeka umetiki, kumbe ni majanga