HENRY SHINDIKA
Member
- Jul 14, 2014
- 85
- 27
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MKEKA USIO CHANIKA
Wolfsburg V Inter 1
Napoli V Donamo 1
Zenit V Torino 1
Total odds 4.4 tupia 50,000=220,000/= bila jasho
@yukubyusuf hivi hiyo kuangalia mkeka kama umeshinda meridian waangaliaje mkuu
@yukubyusuf hivi hiyo kuangalia mkeka kama umeshinda meridian waangaliaje mkuu


View attachment 234197View attachment 234200
Mkuu unaingia my account hlf unaclick Transaction kisha ikifungua ndio kuna sehem ya kuchek hapo unaset tarehe hucki ulio tengeneza mkeka kuna open yan ilio hai kuna Win yan ulio shinda na los ulio chanika. Km inavyo onekana kwenye pcha hapa
fanya kweli mkuu nimezitembelea naona zina odds za utajiri:juggle::juggle:Tawapa kesho mpige hela nimeziona za kutosha tu kesho.
wadau inachukua siku ngapi kupata hela yako ukisha itoa kwenya account yako ya meridiana,maana nime withdraw toka jana hadi sasa sijapata
wadau inachukua siku ngapi kupata hela yako ukisha itoa kwenya account yako ya meridiana,maana nime withdraw toka jana hadi sasa sijapata
Hivi wadau hizi game za online ziko vip hizi,
Vp ile ya number haipo hapa online??
Ziogope kama ukoma game za online... hasa kwa timu ambazo huzifahamu
Mie meridian huwa ninabet kwakutumia old version tatizo mechi za siku husika(today) haitoi option ya moja kwa moja kama GG,draw no Bet nk ukiacha ile other bets ambayo inachukua sana muda kufunguka.. ukiende kwenye ligi husika inakupa hii option.Je kuna option yoyote kwenye football today ambapo ninaweza kuingia kwenye hii link moja kwa moja bila kuingilia kwenye ligi (ambapo hizi option zinatokea kwa juu) au other bets?
Steph curry upo sawa kbisa.....hizo zilinipotezea kma kilo hivi...yaani hela yakobinapigwa fasta sjui eti unatym mechi unajua itaisha hivo...ia ukila na kula fasta....ila kuliwa ni hrka zaidi