DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Ndo keshashinda tayardu uwezi amini miami kama kashinda
Ndo keshashinda tayardu uwezi amini miami kama kashinda
Nilipata imani kwa maneno yako uliposema relaxNdo keshashinda tayar
Mkuu,hatimae imetoa fresh
Walikuwa wanakimbizana kama dcm za mbagalahatimae imetoa fresh
mkuu ndo nachambua hapa hizo za badae,,,miami nlimchelewa nkamfata liveMkuu,
NBA unakuonaje Leo.
daaah mkuu nlimuekea mpunga mrefu sana sana miami almost mtaji woteWalikuwa wanakimbizana kama dcm za mbagala
mkuu tunakusubiria kakamkuu ndo nachambua hapa hizo za badae,,,miami nlimchelewa nkamfata live
hahhahah m-bet au meridian mkuu??asubuhi ntakuwa ndani ya jengo la mbet pale kkoo.
naombeni tips haswa basketball jamani, kwenye upande wa basketball mi ni kuku mgeni kabisa
poa poa mkuumkuu tunakusubiria kaka
nshachanganya mafaili, I mean meridian boy. asante kwa kunikumbushahahhahah m-bet au meridian mkuu??
hhahhaha poa poa mkuunshachanganya mafaili, I mean meridian boy. asante kwa kunikumbusha
San martin hata siion
Nakusubir,mkuu ndo nachambua hapa hizo za badae,,,miami nlimchelewa nkamfata live
Dah, hzo kampuni wasumbuf sn.hahhahah m-bet au meridian mkuu??
Iko ArgentinaSan martin hata siion
Ndio nimeingia argentina sijaipataIko Argentina
Itakua ishaanza,Ndio nimeingia argentina sijaipata
Kivp bila mb mkuuHapa ni zaidi ya whatsapp, tena uzuri wa hapa hata bila mb unaingia tu.