Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuibetia timu kama Liverpool, Totenham, TNS, Porto, psg, Madrid na Barcelona kona na kuacha magoli ni makosa sana.

Hili kosa sitalirudia tena
 
Kuibetia timu kama Liverpool, Totenham, TNS, Porto, psg, Madrid na Barcelona kona na kuacha magoli ni makosa sana.

Hili kosa sitalirudia tena
Dah psg kasepa na kamataji kangu duuuh kwali hii kazi ya taka uvumilivu wa hali ya juu
 
upload_2018-1-8_0-55-20.png


Hili Kokolo nalo BET WON, nilikua kila niki li attach linagoma net iko down. Nataka nicheze kikapu usiku huu safari ilifanya nisicheze slot nyingi
 
Mzigo kesho uwaishwe wakuu asanteni na usiku mwema pesa unaipatia kwenye sim tu wakuu vyuma vimebana.
 
Back
Top Bottom