Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Usihofu mkuu

kona ni nyingi sn hii mechi.

Mechi bado mbichi sn hii
ahsante mkuu maana huu mkeka ulikuwa unanitesa toka nianze kuweka leo nimestake pesa ndefu sana kwa huu mkeka ila nashukuru game over sasa kabaki psg na miami
 
Wale wenzangu wa mkeka no.3

Portimore anaongoza Goli 5

Tunatia tick
Screenshot_20180108-004700.png
 
Back
Top Bottom