Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yaani hapo kwamba nimechagu card, corner, goal visitokee in 1st 5 minutes. Sasa sijajua ni kipindi cha kwanza au vipindi vyote kwa ujumla
Hyo n full time Ila ndo unaesabiwa
5 minutes first tu dk ya 1-5 pekeake
 
da nimetokea kuipenda 1xbet yani ina options za ajabu ajabu alafu nyingi
 
Back
Top Bottom