Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ila ujue ukichagua kona na iki
hapenne gol first ujue umeliwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
inabidi usichague chochote kama nilivyofanya majaribio hapo juu. kuna nyingine nimeona "in 1st 10 minutes without free kick", wamewapa odds15. Leo napo game ya madlrid waliwapa odd5 free kick isitokee ndani ya dk tano za mwanzo. je Madrid wametoa free Kik ndani dk hzio?
 
Ya Madrid cjaangalia mkuu
 
dah bet bana yataka usiwe na waswas naamini madrid watatoa hii corner 1
 
DeepPond ubarikiwe daima nilieka laki 1 leo nikaongeza na totenham nashkuru sana kaka maana nilikuwa na shida nimefanikiwa ubarikiwe kaka
 
Back
Top Bottom