Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu vimetoka vikapu 25 tu kwa hiyo ni under


Mkuu mara nyingi mechi huwa naicheki live.
Na kama siicheki live kuna akaunti ya nba twitter huwa inatoa statistics za game inavyoendelea ni hayo tu mkuu

Account inaitwaje mkuu?
 
f01c1adf36e3b3f466cab1e0a2bf8cf9.jpg
 
MKEKA No.2

Odds: 2.25

Stake: 45k
Marejesho: 101k

Mapambano yanaendelea

Nb:
uyo wa kwanza NI football- Cyprus
Uyo wa pili NI volleyball-italy
Uyo wa tatu NI basket-usa
Screenshot_20180107-182140.png
 
UD Cornella - Ontinyent CF
Under 2.5 goals
1.48

Villarreal CF - Deportivo La Coruna
1/2
1.20

Odds 1.78
 
Nisha waio omba kupewa elimu kuhusu kona naona kimyaaaaaaaaaaaaa!!wazee vepeee
 
Back
Top Bottom