Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ushauri
521de5ee7c25ad34b375059340cefc31.jpg
 
Aisee hawa princes wamekua wezi sasa hv game nimekula wananiekea losse

Nifanyeje wadau?
 
daaah mi siwezi hata kueleza vizuri mkuu

Kwa observation ndogo niliyoifanya ile timu yenye odds ndogo na iliyopigwa kwenye quarter iliyopita ndiyo huwa ina race to 10.0 points ya kwanza.

koncho77 please msaada hata sasa hivi nimetoka kunyooshwa elfu 15, hii option inanipotezea sana hela
 
Mkuu vimetoka vikapu 25 tu kwa hiyo ni under
a7ff79ad36b38f67927b431270cf9b86.jpg

Huu mekeka wa basketball niliweka over ya (31.5) na wakamaliza kota ya 4 kwa point ( 61:71)
Kwa observation ndogo niliyoifanya ile timu yenye odds ndogo na iliyopigwa kwenye quarter iliyopita ndiyo huwa ina race to 10.0 points ya kwanza.

koncho77 please msaada hata sasa hivi nimetoka kunyooshwa elfu 15, hii option inanipotezea sana hela
Mkuu mara nyingi mechi huwa naicheki live.
Na kama siicheki live kuna akaunti ya nba twitter huwa inatoa statistics za game inavyoendelea ni hayo tu mkuu
 
Mkuu vimetoka vikapu 25 tu kwa hiyo ni under

Mkuu mara nyingi mechi huwa naicheki live.
Na kama siicheki live kuna akaunti ya nba twitter huwa inatoa statistics za game inavyoendelea ni hayo tu mkuu
Sawa mkuu nishelewa
 
Back
Top Bottom