DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Game ipiAisee hawa princes wamekua wezi sasa hv game nimekula wananiekea losse
Nifanyeje wadau?
Game ipiAisee hawa princes wamekua wezi sasa hv game nimekula wananiekea losse
Nifanyeje wadau?
Q4 vimeingia vikapu 25 tu.![]()
Huu mekeka wa basketball niliweka over ya (31.5) na wakamaliza kota ya 4 kwa point ( 61:71)
Wakuu,
Hiyo game ya Madrid vs celta.
Msisahau kuwabetia corner.
Kuna coner nyng sn kwny hyo game
Ndo nausuka mkuuMkuu leo hutandazi mkeka?
Bet WONUshauri
![]()
mkeke mgumu sana huo kaka mardrid...porto cjuiUshaili jamana
Baselona
Madrid
Asenal
Totenham
West ham x2
Psg
Spot cp
Fc port
wote hao win
Ndo nausuka mkuu
Ubarikiwe sn mkuu.
Ila kidogo na mm nmeanza kuuona mwanga ktk kuinvest kwny basket.
Tokea ijumaa, nmekua nabet kwa kuvizia.
Kabla sjalala,nmekua nikiacha cheque kwny basket.
Pia, kuna na mchezo wa handball na volleyball
Kule nako nmeona kuna unafuu sn, maana naona competition in ndogo
Na timu kubwa znashnda sana.
Na mungu mkubwa,kote huko nmekua nabet kwa majaribio.
Na nmekua nakula sana.
My take:
Ndugu zangu,
NI WAKATI SASA WA KUBADILIKA NA TUWE FLEXIBLE ZAIDI.
NI VEMA ZAID KUIFAHAMU MICHEZO MINGI ILI KUWA NA UWANJA MPANA WA KUMLA MUHINDI.
Na jembe lingine Barcelona W... kule Spain...mpaka sasa kashampa mtu 4 o'clock.Wakuu,
Naona na kule England Leo ligi ya wanawake inacheza.
Msimsahau Chelsea ladies.
Timu ya pesa hyo
Hahahaaa kuna CS 4- uliionaNa jembe lingine Barcelona W... kule Spain...mpaka sasa kashampa mtu 4 o'clock.
Dah, aisee nlimsahau km ana mechi Leo.Na jembe lingine Barcelona W... kule Spain...mpaka sasa kashampa mtu 4 o'clock.
Barca na Madrid watoe haraka sanaNimtoe Nani hapa