farah hassan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2016
- 492
- 370
Tottenham porto Barcelona pekee nimewekaUshaili jamana
Baselona
Madrid
Asenal
Totenham
West ham x2
Psg
Spot cp
Fc port
wote hao win
Tottenham porto Barcelona pekee nimewekaUshaili jamana
Baselona
Madrid
Asenal
Totenham
West ham x2
Psg
Spot cp
Fc port
wote hao win
Ngoj nife nazo zooteTottenham porto Barcelona pekee nimeweka
Kwanza madrid afadhali x2Ngoj nife nazo zoote
Pole sana Aisee, Mungu amponyeShukran
Ebu leo walete WINNING GANG nione wametokajeWinning gang tips
Game gani lete hapa tuone, pia wasiliana nao mkuuAisee hawa princes wamekua wezi sasa hv game nimekula wananiekea losse
Nifanyeje wadau?
Pole sana Aisee, Mungu amponye
Ebu leo walete WINNING GANG nione wametokaje
ndo iko vipi hiyo mkuu? mi niliingia tu kwenye website yaosajili fast account
Ndio mkuu. Kampuni ya simu ninayotumia wamesema niwasiliane na pmbet. Na wao wapokimya mpaka sasa.Kwenye account yako ya Playmaster hiyo pesa uliyotoa imekatwa....??
Kama vipi wambie unaenda kuwashtaki kama hawatashughulikia tatizo lako..
Premier bet ******* sana nimewapigia hawapokei sim wamekula hela yangu aiseeNdio mkuu. Kampuni ya simu ninayotumia wamesema niwasiliane na pmbet. Na wao wapokimya mpaka sasa.
Nimesha waambia kuwa, najua kuna mamlaka inashughulikia michezo hii Tanzania. Na mimi kufika ofisini kwao sio shida endapo wataendelea kupuuzia hili tatizo, hawajajibu bado.Kwenye account yako ya Playmaster hiyo pesa uliyotoa imekatwa....??
Kama vipi wambie unaenda kuwashtaki kama hawatashughulikia tatizo lako..
Pole mkuu.Premier bet ******* sana nimewapigia hawapokei sim wamekula hela yangu aisee
Ikiwezekana nenda betshop...waelezee tatizo wao watawapigia wahusika wakuu...na usiondoke mpaka tatizo liwe solved....Nimesha waambia kuwa, najua kuna mamlaka inashughulikia michezo hii Tanzania. Na mimi kufika ofisini kwao sio shida endapo wataendelea kupuuzia hili tatizo, hawajajibu bado.
Leo slot vipi mkuu?Pole sana Aisee, Mungu amponye
Ebu leo walete WINNING GANG nione wametokaje
Ubarikiwe sn mkuu.Two consecutive days Losses kwenye football, dah!
Basketball ndiyo inanifanya nirudishe hasara kidogo inayopotea.
Nilichojifunza kwenye Basketball.
1. Wachina wanafungana sana lkn wiki hii wengi wameshindwa kutoa over 210.5 tulizozoea
2. South Korea cut points zao ni 160, hapa ni vyema kuangalia kwanza Q1 na Q2 kupima hali ya mchezo ukiona wanasuasua basi ni safe kutoka na under 167.5 kama wanafungana basi ni safe kutoka na over 153.5 au 154.5au 155.5 au 156.5 au 157.5 au 158.5 au 159.5 ila usivuke over 160.5.
3. Indonesia ni vyema kucheza under mara nyingi na ni vyema kuchagua point ya juu kabisa kwenye betting options.
4. NBA: Hapa uhakika huwa ni kwa Golden state warriors, hawa mara nyingi ni wazee wa kutoa over 120.5 points na total points ya over 220.5. Muhimu hapa ni kuangalia kikosi chama kama key players wote wapo. Mfano jana Curry katolewa Q4 na points zikashuka mpaka 20's wakati alipokuwa uwanjani kuna Quarter walifikisha point 40's.
Mwingine ni Philadelphia huyu ni kwa hisani ya koncho77, huyu mpe ushindi Q1 hakika hajawahi kuniangusha.... Nimeshampa na matokeo yalikuwa chanya 100% kwa wiki hii moja ninayobet.
5. Remember to do Single betting and Stake high baada ya uchambuzi, ukila mara mbili au tatu you call it a day.
NB: usisahau muda wa quarter ya NBA na CBA ni Dk 12/quarter na
South Korea na Indonesia ni Dk 10 /quarter.
Aksanteni sana.
Hiyo inawzkana mkuuView attachment 670181
tutajaribu tena na hiiii [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]