Srebrina
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 972
- 441
Timu ya pesa hyo.
Sinaga wasiwasi nae.
heshima sana mkuu
Timu ya pesa hyo.
Sinaga wasiwasi nae.
Nini tatizo mkuu?Wakuu msaadaaaView attachment 670345
Hatimae over 2.5 sasa duh hizi kituma zinakuaga FIXED hivi mh! dakika ya 92+Naona barca kepu katoa ila over 2.5 utata...dakika ya 85 ,,still 2_0
Wakuu msaadaaaView attachment 670345
Option ngumu sana kila timu iweze kupata kona katika kona zote 4 za uwanjaWakuu msaadaaaView attachment 670345
Hii ni ushahidi wa wazi kuwa direct win ni hatari sana kwa afya yako. What if game ya FOREST vs ARSENAL na ile ya jana kati ya SEVILLA vs BETIS mtu angecheza over 2.5Hahahah Arsenal ndo Mchawi wa leo kala 3 mpaka sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli bro!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii ni ushahidi wa wazi kuwa direct win ni hatari sana kwa afya yako. What if game ya FOREST vs ARSENAL na ile ya jana kati ya SEVILLA vs BETIS mtu angecheza over 2.5
Bora sana kucheza option ya over, vinginevyo tutapata upungufu wa nguvu za kiume kila kukicha
Alichonifanya SEVILLA nimeapa hata akicheza MAN-U vs NJOMBE MJI sitabet direct win kamweKweli bro!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]