Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

MKEKA No.3

Odds: 2.27

Stake:45k
Marejesho: 102k

Mapambano yanaendelea
Screenshot_20180107-190532.png
 
0b9fa1c371913ef19d19cfc8e73e43a0.jpg
aisee mm haka ka application kananiletea team ambazo zitashinda kila siku na zinafanikiwa japo mmegoma kunipa namba za premier bet pumbafu wamekula hela yangu.
mkuu app hiyo inaitwaje
 
Cheza in play game ya barca.

Under 12.5 corners .

Washapata goli za kutosha, hawatashambulia sn 2nd half

da kampuni yangu wameishia under11.5 tena point ni 1.09
vip naweza wapa under 10.5 naona wameipa 1.42
 
Wale wenzangu wa MKEKA no.2

Apoel anafanya kugawa tu kipgo cha mbwa mwizi uko

Half time keshamnyoosha mtu 4:0
Tunatia tick.

Screenshot_20180107-194735.png
 
Back
Top Bottom