Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wakuu hii option ya no free kick in 1st 10 minutes ina maana gani?
 
DeePond ninaomba msaada wa option ya basket ya Miam USA nimeifata option yako ila sijui maelezo yake
 
hivi huyu wenger hyo first 11 anataka akaicheze nafamilia yake?maana kombe la ligi limemshinda,UEFA hola,eroupe tia maji tiamaji na hka kakombe kambuzi kamemshinda.kasepa na mtaji wangu wote makusana huyu mzee.
Cc: buddy,koncho77 msaada kwny NBA jamani
 
Bora tukumbilie NBA tu msaada hukuuuuuu tunaliwa hela.
 
4a305400066b58dc74caf81930956f69.jpg
kiukweli nime fall in love na hizi tips.
 
Angalia vzr huo mkeka wako km unapumua kwl Chief ... ushindi baada ya muda wa kawaida huwa hauhesabiki. Marseille ameshinda Extra time ... muda wa kawaida wametoka 0-0
Mkuu leo wachina basketball hukuwaotea?

Nimesubiria sana kupata tips zako leo lkn sikufanikiwa.

NBA vipi?
 
Hata mm wamenipita leo mkuu ... nlikuwa na mizunguko muda ule balaa ...

Ngoja tuwapitie NBA tuone tunatokaje.
 
Back
Top Bottom