Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
Habarini za kazi wadau naona mnalisongesha bigup sana kwa mnaoendelea kumkalisha. Tukutane kesho kazi tena itaendelea.
Kama mimi sina smart phone natumia pc tu.Hapa ni zaidi ya whatsapp, tena uzuri wa hapa hata bila mb unaingia tu.
Umeona eehdu kwa uchezaji huu wa psg leo atafunga nyingi atunyime corner maana nimeanza kuona kama over 8.5 watashindwa
Kama mimi sina smart phone natumia pc tu.
Umeona eeh
Over 1.5 ht huwa odd 2+Madrid & PSG wameshatoa 3+ in less than 40mins ... sitaki kujua zilikuwa odds ngp kuwapa 3+ First Half.
Kwa pc lazima mbUnaweza kuingia hapa bila mb?
Naomba kuelekezwa ...
Unaweza kuingia hapa bila mb?
Naomba kuelekezwa ...
Aiseee hii ktu kweli inakuaga Bahat na sibuMadrid & PSG wameshatoa 3+ in less than 40mins ... sitaki kujua zilikuwa odds ngp kuwapa 3+ First Half.
Isitokee faulo itakayosababisha free kick ndani ya dk 10 za mwanzo wa mechiwakuu hii option ya no free kick in 1st 10 minutes ina maana gani?
atatoa tu, akizingua kabla dadika ya 80 kuingia uza mkeka maana mechi kubwa wanazinguaga ikifika above 80 min![]()
Porto aspotoa over 1.5
Cjui. Ntamfanyaje mjinga huyo