Mpaka sasa ni kona 15
Nadhani tuhamishie Majeshi kwenye basketball games sasa
Nalala na uchungu sana aisee sikulala tangu mwanzo hawa wangese wanakuja kuniaharibia pesa dakika ya 90. Option yenyenyewe ilikuwa kuanzia dk ya 80-90 lisipatikane goli. Dah hakuna siku imeniuma pesa kama ya leo![]()
Curry na Durant kuna uwezekano wasicheze
japo sio lazima lakini kabla ya kuweka stake angalia kwanza kikosi kama hao wanyama wawili wapo.
Nimedesa Kwa RumishaLeo nimekaza ila naona kimya... Acha nilaleeee.
Nipo Macho Alafu Jukwaaani Kupo Kimyaaa,Wataalamu Wa NBA Hawapo..