Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

6839328fa049788824731d714f0d0b53.jpg

32e4f179cd9f991305706f5d0ea1f859.jpg

Mrejesho bet lost wachawi wawili tuu...

Kama ulichukua odds ndogo nahis unaenjoy uko
 
Stephen Curry (knee) probable for Monday
1611.jpg

Stephen Curry (left knee soreness) is listed as probable for Monday's game.

Steph's knee sure didn't limit him on Saturday, when he dropped 45 points on the Clippers. This isn't related to the right ankle injury that cost him multiple weeks, so presumably he'll be fine, but we'll know more after Golden State's shootaround on Monday.
Source: Warriors PR on Twitter

Wakuu huyu jamaa game ya Alfajiri atakuwepo, mmepata any news zaidi ya hii?
Curry na Durant kuna uwezekano wasicheze
japo sio lazima lakini kabla ya kuweka stake angalia kwanza kikosi kama hao wanyama wawili wapo.
 
Malaga na castle palec
Chomoen gol au muongezwe
maana nataka 2+

Muache kunipa pressure
 
Dah! Je na sisi tulio weke 1.5 over?
Lens uyu hatabiriki ila tusubirie tuone, ktk ligi 2 yupo nafasi ya 15 ila kwa 5 zilizopita hajafungwa sasa leo sabab umembetia unaweza shangaa anafungwa ilo ilo moja mpaka game inaisha. Tusubirie tuone maana mpaka sasa anaongoza kwa possession,kona na shots ingawa shots on goal kazidiwa
 
Kafanikiwa bhana
 
Malaga na mwenzio yan
Hamtak kuniogezea gol moja[emoji25] [emoji25]
 
Usihofu,
Brighton akiwa home anapenda sn kucheza ball possession.

Palace nae akiwa away anacheza possession kwa tahadhar zaidi.

Kwahyo, hyo mechi
Haiwez zidi corner 12.

Mpaka sasa ni kona 15

Nadhani tuhamishie Majeshi kwenye basketball games sasa
 
Hapo ndio unaona ubora wa singlebet au slots za team atleast mbili kila mkeka....Yani Ungekua umemliza hapo pamoja na wachawi wawili kuwepo
Slot yake ina atleast team mbili. Bila shaka ulimaanisha ATMOST TEAM MBILI
 
Back
Top Bottom