Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Club friendlies zote wametoa 3+ ... af wametoa GG&3+ kasoro game moja tu !


76f3452fe96b9015730e9a46ebe01b73.jpg
Ha ha ha mkuu hawa desturi yangu ilikua kuwacheza Halftime over 1.5 kwa single bet
 
Na mimi leo pampa to pampa na basketball,ingawa ni mtupu kabisa ila kwa uweza wa kucopy basi nitafaulu.
 
Dah,
Wakuu tumepishana na hii hela aisee.

Kumbe leo,
MAGDEBURG alkua uwanjani!

Nastuka namuona live score anaongoza 2:0 halftime.

DAH, INANIUMA SN KUPISHANA NA HII ELA.

NA NAONA KUMBE ALIPEWA ODDS MLIMA KWELIKWELI.
Somo uliloahidi kulileta naona kimya mpaka sasa
 
Hii kukesha inapunguza ufanisi kwenye kumiss baadhi ya crucial games kwenye inplay.

Ile siku inacheza GSW nilikuwa nimebet for almost 30 hrs bila kulala at time mechi muhimu kama hiyo niliyokuwa naisubiria kwaajili ya inplay nikashindwa kabisa nikabetia mikeka minne kuamka asubuhi ikawa imetiki mitatu.

Leo kuna games nzuri sana kwenye NBA, hivyo Ni vyema tukapumzika mapema kusubiria hizo game kuanzia saa 9 Alfajiri mpaka saa 12 asubuhi.
Nitalala Mapema Niziwah.. Mzitupie Humu Tupatapo Sote Bac Kiongoz
 
Back
Top Bottom