Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
LensKaniokoa sana leo. Kweli Mungu haachi kutenda miujiza. Gemu gani ingine ina uhakika ?
1/1
LensKaniokoa sana leo. Kweli Mungu haachi kutenda miujiza. Gemu gani ingine ina uhakika ?
Downloard app mkuu ukiona web inazingua unatumia app,mi huwa nafanyaga hivo nafanikiwa.Princess mambo ya gateway sijui server zao zikoje zimenikosesha hela nzuri kwa [HASHTAG]#lakers[/HASHTAG]
Tatizo usalama pesa yangu unakuwa ni mdogo sana ndio maana sipendelei appDownloard app mkuu ukiona web inazingua unatumia app,mi huwa nafanyaga hivo nafanikiwa.
Kivipi simu si unashika mwenyewe,ingawa hilo nilikuwa sijafikiria.Tatizo usalama pesa yangu unakuwa ni mdogo sana ndio maana sipendelei app
Mkuu ivi ukiandikiwaTatizo usalama pesa yangu unakuwa ni mdogo sana ndio maana sipendelei app
NBA???Duh,
Leo Usngz unanitesa sana.
Karibu tena mkuu.View attachment 671039odd 6+
View attachment 671040odd 8+
View attachment 671041odd 7+
View attachment 671042odd 21
View attachment 671043odd 5+
Ndio mkuuNBA???
ahahahahah mimi nishazoea sina hata haja ya kuamshwa alarm.Ndio mkuu