Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hlo ni kweli, Jana usku kikapu kimefanya usaliti sn.

Nashkuru sn hockey imetoa
Ile mikeka nliweka jana kilocho nitokea asubuh nkataman nilie [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
MKEKA WA ICE HOCKEY

*mapambano yanaendelea*
View attachment 670714
****BET WOOOOOON*****
Screenshot_20180108-123102.png
 
Msaada Nimtoe nani hapo.
 

Attachments

  • Screenshot_20180108-122000-01.jpeg
    Screenshot_20180108-122000-01.jpeg
    22.8 KB · Views: 29
  • Screenshot_20180108-122010-01.jpeg
    Screenshot_20180108-122010-01.jpeg
    17.3 KB · Views: 32
Huyo Brighton na crystal Palace kutoka GG naona ni kazi sana.
H2H inakusaliti hapo na zaidi huyo Brighton amekuwa na uwezo mdogo sana wa kufunga magoli.
wanaweza piga corner over 8.5 maana wastan wa palace ni 6 to 7 corners while brighton ni 4 to 5 kwa match kama 4 zilziopita kwa hyi nina imani
 
Back
Top Bottom