ACCUMULATOR
Senior Member
- Mar 17, 2017
- 135
- 52
Ushauri jamani hii premier league two ya u23 naona anafaa kwa over 2,5 yote
wanaweza piga corner over 8.5 maana wastan wa palace ni 6 to 7 corners while brighton ni 4 to 5 kwa match kama 4 zilziopita kwa hyi nina imani
Nipe shule ya hockeyHlo ni kweli, Jana usku kikapu kimefanya usaliti sn.
Nashkuru sn hockey imetoa
Binafsi,Business inahitaji uvumilivu wa hali ya juu, football ilizingua NHL na basketball umetusua.
Leo umeipotezea gemu ya Sidney fcBinafsi,
Jana NBA imezngua
Ila football na NHL zimenipa pesa
leo naona kuna WCBAWazee wa CBA leteni Tips tutembee nazo tupooze maumivu ya jana
Nlkua nmelala.Leo umeipotezea gemu ya Sidney fc
huyooooohatasikuu ameluliza inayofwataa analipiza kisasiSydney mzee wa 3+ kashafanya yake, hongereni wote mliomuamini mkamuwekea mzigo wa maana
Kweli inplay tamu...nimechezea mechi Sydney alikua 2-0 nikampa Ova point ilikua 1.87 nikatest na stake ndogo ...
Kaniokoa sana leo. Kweli Mungu haachi kutenda miujiza. Gemu gani ingine ina uhakika ?Sydney mzee wa 3+ kashafanya yake, hongereni wote mliomuamini mkamuwekea mzigo wa maana