Kwahyo iyo unaipata kwenye 3 way au Double chance? Ktk princess bet;
Mm sjalala kabisa,ahahahahah mimi nishazoea sina hata haja ya kuamshwa alarm.
1 na 2 ipo 3 wayKwahyo iyo unaipata kwenye 3 way au Double chance? Ktk princess bet;
Duh ulikomaaa sanaMm sjalala kabisa,
Baada ya mechi ya Madrid kuisha.
Nkajitosa tena kibaruani,
Nkaanza kubet Darts na Futsal Kyle Argentina na Chile.
Nataka tu kulala, will bills ananistua twende tena kibaruani NBA.
Dah, MPK KUNAKUCHA NLKUA MACHO.
Pick 1 Ina maana ashinde wa nyumbani, akishinda wa ugenini au droo mkeka unakua umechanika.Mkuu ivi ukiandikiwa
Pick.......1 au
Pick........(1 2)
Maanaake nn?
Kweli acha tuendeleze mapambano
Utalipwa ela after 24hr kupita baada ya hiyo mda WA hyo mechi.Hiv wakuu mechi ikiahirishwa inakuaje?Nina mkeka wng ila kuna game moja ilikuwa ichezwe saa 10 lkn imeahirishwa
Asante mkuuUtalipwa ela after 24hr kupita baada ya hiyo mda WA hyo mechi.
Maana ake utalipwa kesho SAA 10.
Mkuu tunasubiri mkeka namba 3.Utalipwa ela after 24hr kupita baada ya hiyo mda WA hyo mechi.
Maana ake utalipwa kesho SAA 10.
Utapewa mpunga wako ila kwa kuchelewa inaweza kuwa kesho mchana au jioni.Hiv wakuu mechi ikiahirishwa inakuaje?Nina mkeka wng ila kuna game moja ilikuwa ichezwe saa 10 lkn imeahirishwa