Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mm sjalala kabisa,
Baada ya mechi ya Madrid kuisha.

Nkajitosa tena kibaruani,

Nkaanza kubet Darts na Futsal Kyle Argentina na Chile.

Nataka tu kulala, will bills ananistua twende tena kibaruani NBA.

Dah, MPK KUNAKUCHA NLKUA MACHO.

Hii kukesha inapunguza ufanisi kwenye kumiss baadhi ya crucial games kwenye inplay.

Ile siku inacheza GSW nilikuwa nimebet for almost 30 hrs bila kulala at time mechi muhimu kama hiyo niliyokuwa naisubiria kwaajili ya inplay nikashindwa kabisa nikabetia mikeka minne kuamka asubuhi ikawa imetiki mitatu.

Leo kuna games nzuri sana kwenye NBA, hivyo Ni vyema tukapumzika mapema kusubiria hizo game kuanzia saa 9 Alfajiri mpaka saa 12 asubuhi.
 
Every little helps, leo nipo Bombay
25db04088e7f1d7e83a9c489dbba1eae.jpg
ahahahah
 
Dah,
Wakuu tumepishana na hii hela aisee.

Kumbe leo,
MAGDEBURG alkua uwanjani!

Nastuka namuona live score anaongoza 2:0 halftime.

DAH, INANIUMA SN KUPISHANA NA HII ELA.

NA NAONA KUMBE ALIPEWA ODDS MLIMA KWELIKWELI.

Mkuu usijilaumu, toka asubuhi nimemtafuta sana princess, mbet na Meridian hakuwepo yeye na mwenzake Singida United anacheza na yanga leo.

Walimficha, nadhani waliamua kumtoa baadaye kabisa
 
Hii kukesha inapunguza ufanisi kwenye kumiss baadhi ya crucial games kwenye inplay.

Ile siku inacheza GSW nilikuwa nimebet for almost 30 hrs bila kulala at time mechi muhimu kama hiyo niliyokuwa naisubiria kwaajili ya inplay nikashindwa kabisa nikabetia mikeka minne kuamka asubuhi ikawa imetiki mitatu.

Leo kuna games nzuri sana kwenye NBA, hivyo Ni vyema tukapumzika mapema kusubiria hizo game kuanzia saa 9 Alfajiri mpaka saa 12 asubuhi.
Hill ni kweli mkuu.

Leo nmemiss game muhim sn ya pesa.

1. Game ya Sydney Kule Australia.

Nmeamka saa 6:40 nakuta iko second half Sydney anaongoza 2:0

2. Game magdeburg
Leo Magdeburg alkua uwanjani, Ila kwa sababu nlkua na usngz skuwz kuiona kwny fixture za Leo.

Nmekuja kustuka naiona live score iko half time na Magdeburg anaongoza 2:0
 
MAGDEBURG hawakuiweka, Niliitafuta sana karibu kampuni tatu tofauti
 
Naona club friendly karibu zote leo zimetoka over 2.5 , tuwe tunazitupia jicho nazo
 
Back
Top Bottom