Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Lost mlaaaniwe malaga na kiaz mwenzio

Ngoja nikafe na

Gsw over 219
Lose angel over 219
 
Nalala na uchungu sana aisee sikulala tangu mwanzo hawa wangese wanakuja kuniaharibia pesa dakika ya 90. Option yenyenyewe ilikuwa kuanzia dk ya 80-90 lisipatikane goli. Dah hakuna siku imeniuma pesa kama ya leo
 
Hawa jamaa kila siku tips zao zinashinda sababu ya ujanja ujanja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…