farah hassan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2016
- 492
- 370
chananna mwehu.....Cc mods naomba mtupgie ban huyu
Mwehu
Link haiend mkuu
Sawa mkuu maana natumia appFungua jf kwenye chrome ama opera
WAZEE WA MKEKA MMOJA MAPEMA HIYOOO!!
NEWCASTLE JETS FC (2.5 OVER)
BET LOST
Chambua mbili mbili....and ov ya aek athens weka 2.5
Yaani imeniuma hii kikapu kimoja tu kwa LA Clippers kilikosekana. Ningempa kanji kilio cha clean sheet ukiondoa zile INPLAY nilizocheza.
Acha tu mkuu Clippers alizingua sana q1 na q2 kama siyo Atalanta kukomaa sidhani km hata angefikisha hizo 108. Kanikosesha 236 ya wazi kabisa.
Vipi mikeka yako princess imeshafunguka?
Mpaka sasa bado sijalipwa