usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,977
- 14,103
Aiseee ngoja nisubir tu wakuu huenda wakafkaMkuu game mbona mbichi kabisa hizi?
Imani kitu muhimu sana,
Maana nlicheza total point
Wanafika vizuri wala hata usihofu
Aiseee ngoja nisubir tu wakuu huenda wakafkaMkuu game mbona mbichi kabisa hizi?
Imani kitu muhimu sana,
Wanafika vizuri wala hata usihofu
Golden state warriors
Home team over 115.5
Aiseee ngoja nisubir tu wakuu huenda wakafka
Maana nlicheza total point
Dhuuuuu nliingia cha kike
Kbsa gsw hawakfkish 221
Na los Angeles have hata 210
Hawakfkish ***** zao
Sawa sawa konchoPremier inplay ya basketball waliiondoa mkuu.
Huwa nawatumia kwa mchezo mzima lakini inplay huwa nawatumia princess
Wameshafikisha tayariAiseee ngoja nisubir tu wakuu huenda wakafka
Maana nlicheza total point
Mkuu gsw tayar BadoWameshafikisha tayari
Haa haa mkuu Sasa ntaachaKunung’unika kwingi huleta mikosi.
Ndiyo maana hata DeepPond huwa analamika sana kuhusu wewe.
Mkuu game mbona mbichi kabisa hizi?
Imani kitu muhimu sana,
GSW game imeisha kwa vikapu 238 (214/114)
Dhuuuuu aiseeee Hawa jamaa wanafaaGSW game imeisha kwa vikapu 238 (124/114)
Mkuu gsw tayar Bado
Los Angeles wako 197
Nawadai vikapu 13
Sawa mkuuFurahi sasa BET WON!
Ila haya Mambo uache, lalamika baada ya game kuisha!
Jamvi letu bado linapumua!
Bado watatu hapo Kanji akae kwa odds 20+
View attachment 671387View attachment 671388View attachment 671389View attachment 671390View attachment 671391
Tunajaribu mitambo. Kokorikoooooooo...! The rest ni mwendo wa inplay sasa.
Mkuu hongera sana, hatimaye kokoro limetoa
Bg up hapo mchana wa leoAhsante mkuu! Ashukuliwe Mungu!
Hongera, shukrani.. Nilishtuka alfajiri nikalifuataWALE WALIOFUATA! Kokoro limetema.
BET WON [emoji857][emoji857][emoji857][emoji385][emoji385][emoji385]
Tumemkunja Muhindi kwa Odds 20!
Hongera, shukrani.. Nilishtuka alfajiri nikalifuata