Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hizi ndiyo game nazisubiria tuhabarishane mapema tips.

Mkuu Naona princess hawajaniingizia mzigo wangu wa inplay, vipi wewe!?
Mimi mpaka muda huu hawajaniingizia kuna inplay tatu nimecheza na zote zimetoa na mechi zimeshaisha lakini bado hawajaniingizia.
Inplay ya Sacramento Kings v San Antonio
Spurs imenilazimu nideposit tena sijui wanafanya nini.
 
Screenshot_20180109-072214.png
Screenshot_20180109-072203.png
 
Mimi mpaka muda huu hawajaniingizia kuna inplay tatu nimecheza na zote zimetoa na mechi zimeshaisha lakini bado hawajaniingizia.
Inplay ya Sacramento Kings v San Antonio
Spurs imenilazimu nideposit tena sijui wanafanya nini.

Vipigo vikizidi huwa inakuwaga hivyo, tuwe wavumilivu tu km unaweza bora kudeposite tena
 
Back
Top Bottom