Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

View attachment 671521 View attachment 671521
wakuu nataka kudepost 1×bet, nielekezeni kumbukumbu namba sahihi, nisirudie makosa kama ya kipindi kile
Screenshot_20180109-135921.png
Screenshot_20180109-135932.png
Screenshot_20180109-135937.png
 
Elimu kidogo wakuu naomba kufahamu, NBA katika standing kuna conference 2 eastern na western na division nne.... Naombwa kuelekezwa kwa nini wanagawa hivi alafu bado zinacheza mzunguko ule ule division zote.
Cc @Z.Z. Rumisha, koncho77, Will Billy, Omerta na wengine wote.
 
fd97a5c72a5887bc3fcf7831297cb297.jpg
Wakubwa naombeni Ushauri kuhusu uchaguzi wangu, sina uzoefu sana na haya mambo.

Msaada tafadhali kwenye hizo timu 3
 
  1. *2 ODD ALERT ⚠*
    6C5NGG2
    2 ODD
    Code 1201 Date 09/01/2018 20:45
    Event Manchester City - Bristol City
    Live/Prematch Normale Selection 1 & Over
    Code 3757 Date 09/01/2018 19:30
    Event Atl. Madrid - Lleida Esportiu
    Live/Prematch Normale Selection 1X & Under
    Code 3758 Date 09/01/2018 21:30
    Event Valencia - Las Palmas UD
    Live/Prematch Normale Selection Over
    Code 4364 Date 09/01/2018 20:45
    Event Wingate & Finchley - Leiston
    Live/Prematch Normale Selection (2:0) 1 H
    Code 8790 Date 09/01/2018 20:45
    Event Chorley - Kidderminster
    Live/Prematch Normale Selection (0:2) 2 H
    Code 8791 Date 09/01/2018 20:45
    Event Nuneaton Town - Harrogate Town
    Live/Prematch Normale Selection (3:0) 1 H
    #TEAM_BELIEVE
 
  • [1/9, 14:14] Myn 2: *TUESDAY VIBES*
    6C5QH9X
    2.33 ODD
    Code 7930 Date 09/01/2018 21:00
    Event Nice - Monaco
    Live/Prematch Normale Selection Over
    Code 9054 Date 09/01/2018 19:00
    Event Al Nasr Cairo - Ismaily SC
    Live/Prematch Normale Selection 2
    Code 5855 Date 09/01/2018 20:45
    Event Carrick Rangers FC - FC Linfield
    Live/Prematch Normale Selection Over
    Code 5856 Date 09/01/2018 20:45
    Event Newtown AFC - Cardiff Met Uni.
    Live/Prematch Normale Selection Over
    [HASHTAG]#BELIEVE[/HASHTAG]
    [1/9, 15:59] G.E.M: BIG BET GAMES
    PLEASE PLAY SINGLE
    ⛳️ Atletico Madrid Vs Lleida
    Pick (OVER 2.5 )
    ⛳️ Inverness vs Falkirk
    Pick (BTTS ==YES)
    PLACE SINGLY
    GOODLUCK AND WIN BIG TODAY
 
  • [1/9, 13:39] Myn 2: Booking Number: 6C78SBN
    09/01/201811:23:27
    1616 OFI Crete - Panionios
    Home To ScoreYes
    09 January 2018 14:00
    Prematch
    6981 AEK Athens - Panaitolikos
    Double Chance12
    09 January 2018 18:30
    Prematch
    6980 PAOK - Trikala
    Double Chance12
    09 January 2018 16:15
    Prematch
    7233 Talaea El Gaish - Al Asyooti Sport
    Away to ScoreYes
    09 January 2018 17:00
    Prematch
    7197 CD Tondela - Vitoria Setubal
    Both Teams to ScoreYes
    09 January 2018 20:00
    Prematch
    3757 Atl. Madrid - Lleida Esportiu
    Home To ScoreYes
    09 January 2018 19:30
    Prematch
    4125 CF Os Belenenses - Boavista FC
    Both Teams to ScoreYes
    09 January 2018 22:00
    Prematch
    2740 Oldham Athletic - Leicester City
    Both Teams to ScoreYes
    09 January 2018 20:30
    Prematch
    1024 Halifax Town - Macclesfield
    Both Teams to ScoreYes
    09 January 2018 20:45
    Prematch
    1025 Spennymoor Town - Gainsborough Trinity
    Home To ScoreYes
    09 January 2018 20:45
    Prematch
    9054 Al Nasr Cairo - Ismaily SC
    Home To ScoreYes
    09 January 2018 19:00
    Prematch
    8791 Nuneaton Town - Harrogate Town
    Home To ScoreYes
    09 January 2018 20:45
    Prematch
    8792 Havant & Waterlooville - Oxford City
    Away to ScoreYes
    09 January 2018 20:45
    Prematch
    5856 Newtown AFC - Cardiff Met Uni.
    Home To ScoreYes
    09 January 2018 20:45
    Prematch
    8510 Regensburg - LASK Linz
    Both Teams to ScoreYes
    09 January 2018 14:00
    Prematch
    8509 Chiangrai United - Port FC
    Away to ScoreYes
    09 January 2018 12:00
    Prematch
    Stake ₦ 500
    *Risky buh possible*
    [1/9, 13:39] Myn 2: Booking Number: *6C6GBCX*
    09/01/201808:16:00
    1201 Manchester City - Bristol City
    1st Half - Over/Under *0.5Over*
    09 January 2018 20:45Prematch
    3757 Atl. Madrid - Lleida Esportiu
    1st Half - Over/Under *0.5Over*
    09 January 2018 19:30Prematch
    1065 Woking - Tranmere
    Both Teams to Score *Yes*
    09 January 2018 20:45Prematch
    8511 Sparta Rotterdam - PEC Zwolle
    Over/Under *1.5Over*
    09 January 2018 15:30Prematch
    8512 Fortuna Dusseldorf - Standard Liege
    Over/Under *1.5Over*
    09 January 2018 15:30Prematch
    *3.78*
 
HK2 TIPS
 

Attachments

  • IMG-20180109-WA0104.jpg
    IMG-20180109-WA0104.jpg
    43 KB · Views: 30
  • IMG-20180109-WA0105.jpg
    IMG-20180109-WA0105.jpg
    43 KB · Views: 33
  • IMG-20180109-WA0100.jpg
    IMG-20180109-WA0100.jpg
    48.6 KB · Views: 34
Elimu kidogo wakuu naomba kufahamu, NBA katika standing kuna conference 2 eastern na western na division nne.... Naombwa kuelekezwa kwa nini wanagawa hivi alafu bado zinacheza mzunguko ule ule division zote.
Cc @Z.Z. Rumisha, koncho77, Will Billy, Omerta na wengine wote.

Western Conference imegawanyika katika 3 Divisions na kila Division ina teams 5. Pia, Eastern Conference imegawanyika katika 3 Divisions na kila Division ina teams 5. Kwa hiyo NBA league ina 30 Teams.

NBA imegawanyika kwenye Regular season na Playoffs.

A. Regular season

Huanza wiki ya Mwisho ya October, training camps huanza September baada ya Summer breaks. Regular season hupumzika February kwa ajili ya NBA All Star Games. Regular season huisha katikati ya Mwezi April.

Wakati wa regular season kila team inacheza michezo 82. Michezo 41 nyumbani na michezo 41 ugenini. Ina maana kwamba Teams hucheza Mara tatu kwa wiki katika nusu mwaka. (27 weeks * 3 games = 81 games).

Hii inakuwaje possible wakati team ziko 30 kucheza michezo 82? Nakujibu kama ifuatavyo:

1. Kila team kutoka katika Division husika hukutana na team pinzani ndani ya Division moja mara nne kwa mwaka. Hii huweza kufanya jumla ya michezo kuwa 16 (4 Teams * 4 meetings).

2. Kila Team kutoka Division husika itacheza na Teams 6 kutoka Divisions Mbili zilizobaki katika Conference husika. Hii hukamilisha idadi ya michezo kuwa 24. Teams 4 zinazobaki hukutana katika Michezo 3 na kukamiliza idadi ya michezo 12. ANGALIZO: Mizunguko ya Miaka Mitano huweza kuamua Team zipi ziweze kucheza Michezo mitatu

4. Lastly, 2 games against teams in the opposing conference (2 games * 15 meetings = Michezo 30.

Jumla ya michezo kwenye Regular season itakuwa sawa na 82 Games (16+24+12+30).


B. Playoffs

Teams 8 bora kutoka kwenye kila Conference (East and West) zinafunzu kucheza Play-offs kwa kuangalia WINS and LOSSES. Vigezo vingine hutumika, kama Home Court Advantages, Tie Braker and others!


Naomba kuwakilisha! Hivyo ndiyyo nifahamu. Wadau wengine wanaweza kujazilia ama kunikosoa pia sehemu ambayo naelewa vibaya.


Z.Z Rumisha
 
Back
Top Bottom