Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ahsante mkuu! Nimezipata na nimeshusha kidogo idadi ya vikapu baadhi ya mechi. Nimechukua mechi 6 nikapa odds 11+. Zinanitosha kabisa.

Hii mechi yenye over 162.5 points nimeiacha kabisa. Nimeogopa mkuu, kwa sababu inaweza kuwa ndefu kwao kufikia hizo points.
Tupia hapa mkuu nipite nazo
 
Ahsante mkuu! Nimezipata na nimeshusha kidogo idadi ya vikapu baadhi ya mechi. Nimechukua mechi 6 nikapa odds 11+. Zinanitosha kabisa.

Hii mechi yenye over 162.5 points nimeiacha kabisa. Nimeogopa mkuu, kwa sababu inaweza kuwa ndefu kwao kufikia hizo points.
Zile mechi unakuta tip imeandikwa over 2.5 mi huwa nashusha inakuwa over 1.5 team hz hazieleweki.
 
upload_2018-1-3_21-22-46.png
 
Ahsante mkuu! Nimezipata na nimeshusha kidogo idadi ya vikapu baadhi ya mechi. Nimechukua mechi 6 nikapa odds 11+. Zinanitosha kabisa.

Hii mechi yenye over 162.5 points nimeiacha kabisa. Nimeogopa mkuu, kwa sababu inaweza kuwa ndefu kwao kufikia hizo points.

Sasa mkuu tuchambue hizi game nne za NBA mapema, tutupie kokoro mapema tulale ibakie kuamka kwaajili ya inplay tu
 
Well said Mkuu!

Mimi nimeona game tatu tu zinaeleweka. Hizi hapa, ushauri wako mkuu! Kabla sijaplace bet.

IMG_9831.jpg
 
Imekaa vyema, japo hapo kwenye Toronto nitampatia total points ya game zima badala ya yeye mwenyewe mkuu

Basi ngoja nitembee na Total Points! Naona zipo nyingi sana mpaka zinaniogopesha. Ndiyo maana nikatoa Home Team Points!
 
Wadau game ya VALENCIA nataka nijilipue na corners over 10.5 ushauri plz
 
Back
Top Bottom