GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,885
- 18,636
Tupia hapa mkuu nipite nazoAhsante mkuu! Nimezipata na nimeshusha kidogo idadi ya vikapu baadhi ya mechi. Nimechukua mechi 6 nikapa odds 11+. Zinanitosha kabisa.
Hii mechi yenye over 162.5 points nimeiacha kabisa. Nimeogopa mkuu, kwa sababu inaweza kuwa ndefu kwao kufikia hizo points.
Zile mechi unakuta tip imeandikwa over 2.5 mi huwa nashusha inakuwa over 1.5 team hz hazieleweki.Ahsante mkuu! Nimezipata na nimeshusha kidogo idadi ya vikapu baadhi ya mechi. Nimechukua mechi 6 nikapa odds 11+. Zinanitosha kabisa.
Hii mechi yenye over 162.5 points nimeiacha kabisa. Nimeogopa mkuu, kwa sababu inaweza kuwa ndefu kwao kufikia hizo points.
Ahsante mkuu! Nimezipata na nimeshusha kidogo idadi ya vikapu baadhi ya mechi. Nimechukua mechi 6 nikapa odds 11+. Zinanitosha kabisa.
Hii mechi yenye over 162.5 points nimeiacha kabisa. Nimeogopa mkuu, kwa sababu inaweza kuwa ndefu kwao kufikia hizo points.
Na bado hizo goli 2 hazipatikani.Zile mechi unakuta tip imeandikwa over 2.5 mi huwa nashusha inakuwa over 1.5 team hz hazieleweki.
Princessbet kila muda server error nataka niwithdraw lakini wanazingua
Sasa mkuu tuchambue hizi game nne za NBA mapema, tutupie kokoro mapema tulale ibakie kuamka kwaajili ya inplay tu
Itabd unashusha inakuwa over 0.5Na bado hizo goli 2 hazipatikani.
Toronto namuona akishinda dhidi ya Heat japo nao wapo vizuri kapewa odds 1.55Mimi nimeweza kudraw na kudeposite tena.
Pole
Mkuu hebu tupe tathmini ya hizi game 4 za NBA leo kabla hatujalala
Well said Mkuu!
Mimi nimeona game tatu tu zinaeleweka. Hizi hapa, ushauri wako mkuu! Kabla sijaplace bet.
View attachment 671887
Imekaa vyema, japo hapo kwenye Toronto nitampatia total points ya game zima badala ya yeye mwenyewe mkuu
Hongera mkuu
Hongera sana mkuu
Slot vip leo hakuna?