Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

6e7783c9fd8ed41335da93e4d7bdd372.jpg
Hawa ndio wachawi wetu wa kila siku manina Rochdale na lincoln mamina kabisaaaa.
 
28a224ecba7c40298e34a6880eea2618.jpg


Aiseee nan atoke nan abak hapo
Wakuu au imekaaje hyo

Nataka kufinya kitufe cha mezan
 
Ule mkeka woko ume win ila kwangu hao Dimano moscow vs Bologorie nilijichanganya nikaweka team inayocheza kesho.
Hivi watashinda kweli maana duh! Kesho saa moja jion wanacheza tena.
 
Back
Top Bottom