libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,478
- 3,647
BADO UJACHELEWA MBS ZAKO TU NEEMA YABWANA TUMEPEWA BURE TOENI BURE
JOIN
BETLOX 100% FREE WINNING TIPS DAILY
TELEGRAM
BETLOX TIPS
BETLOX TIPS
Shukrani kiongozi
BADO UJACHELEWA MBS ZAKO TU NEEMA YABWANA TUMEPEWA BURE TOENI BURE
JOIN
BETLOX 100% FREE WINNING TIPS DAILY
TELEGRAM
BETLOX TIPS
BETLOX TIPS
Wacha tu mkuu! Niliiogopa hii game tangu mapema. Kwa Total points niliona haitafikisha. Ila ndiyo hivyo, tumempatia kanji kibubu. Leo nayo siku
Nilimuweka Bologorie Belgorod ashinde.Ulimuweka nan kwny MKEKA mkuu?
Huu mkeka nmeuchelewa aisee.MKEKA WA SUPU KUAMKIA ASBUH YA TAR 10 JAN 2018
Odds: 3.03
Stake: 50k
Marejesho: 150k
Mapambano yanaendelea
NB:
hao wawili wa juu ni hockey
Hao wawili WA chini ni basket
View attachment 672255
Leo football naona haijakaa poa sn kuwekeza.
Hizi tips ndio huwa zina nitoa mm ila leo sina iman nazo.![]()
Wakuu,
Kuna hii game ya UFC u23
"North Korea vs Thailand"
Kwny hii game ya Leo, N.Korea ana nafas kubwa ya kushnda hii mechi.
Ila ukiwaangalia Thailand,utaona kua wamefungwa goli 1 tu ktk mechi zote 7 ziluzopita.
Kwa maana hyo,Thailand anaonekana kua na defense nzuri.
Ila hilo halizuii yeye kufungwa,
Kwann nasema hvo,?
Hii ni kwa sababu, opponents wote alokutana nao ni dhaifu kiasi ukiwalinganisha na N.Korea
Kwahyo ,
hii game naiona inawz kuwa
"Not both team to score"
Hii ni kwasababu Thailand hawatapata nafas ya kushambulia, watastruggle sn kulinda goli lao mda mwng.
Hii inawza pelekea matokeo ya 1:0 au 2:0 au 3:0
Ushauri:
Hii game inafaa double chance kwa N.Korea
Au Not both team to score.
Mbon sijaion hii game mkuuWakuu,
Habar za asbuh, Natumai wote wazma WA afya.
KWA WALE WAZEE WENZANGU KUBET VOLLEYBALL.
Kuna hii game ya
"KUZBASS VS DINAMO LENINGLAD"
Hii game inafaa sn kumpa Kuzbass kushinda set zote mwanzo mwisho.
Ina odds 2.10
Kwann nasema hvo:
Hii ni kwasababu kuzbass yuko form sn kipind hiki.
Huyu kuzbass amepoteza set 1 tu ktk michezo yake 3 ilopita mashndano yote.
Na ilkua ni away game na ilkua ni set ya kwanza tu dhidi ya timu ilio nafas ya 9 kwny msimamo
Leo kuzbass yuko home na anaktana na timu dhaifu kabisa kwny ligi (nafas ya 13)
Ukiwaangalia Dinamo.L ,
Mechi 5 zlzopita, hajashnda game yoyt.
Bali kaongoza set 2 tu,kisha kapoteza mechi.
Head to Head
Last time walpokutana,tumeshuhudia Kuzbass akishinda 3:0
My take,
Hii game ya Leo tushuhudie Dinamo akistruggle sn kulinda.
Na naamini Kuzbass anashinda set zote mwanzo mwisho.