Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wale wa In play bet,

Twenzetu Australia.

Corner bet over 9.5

Au mpe ushindi wa corner Adelaide.

Huyu jamaa anapiga kona nyng sn kwny ile ligi
Update....
Halftime
Corner 7 zimeshapigwa.

Wale WENZANGU wa over 9.5, zmebaki 3 tu.

Pia wale ushindi wa corner kwa Adelaide.
Mambo sio mabaya, anaongoza corner 5:2
 
Kuna game ya ligi ya Czech republic
Znojmo vs Brno
Znojmo wamempa 7.00 odds na Brno wamempa 1.39 nimeangalia huyu znojmo kashinda game mfululizo za home na Brno wameshinda game 1 tu away katika games 5 zilizopita huyu mhindi anatujaribu au
Hebu ngoja namii niicheck mkuu
 
Wakuu,
Kuna hii game ya UFC u23
"North Korea vs Thailand"

Kwny hii game ya Leo, N.Korea ana nafas kubwa ya kushnda hii mechi.

Ila ukiwaangalia Thailand,utaona kua wamefungwa goli 1 tu ktk mechi zote 7 ziluzopita.

Kwa maana hyo,Thailand anaonekana kua na defense nzuri.

Ila hilo halizuii yeye kufungwa,

Kwann nasema hvo,?
Hii ni kwa sababu, opponents wote alokutana nao ni dhaifu kiasi ukiwalinganisha na N.Korea

Kwahyo ,
hii game naiona inawz kuwa
"Not both team to score"

Hii ni kwasababu Thailand hawatapata nafas ya kushambulia, watastruggle sn kulinda goli lao mda mwng.

Hii inawza pelekea matokeo ya 1:0 au 2:0 au 3:0

Ushauri:
Hii game inafaa double chance kwa N.Korea
Au Not both team to score.
Update......

Full time
North Korea 1:0 Thailand

HONGERENI SANA MLOFUATA HUO USHAURI HAPO JUU
Screenshot_20180110-125230.png
 
Back
Top Bottom