Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Anhaa sawasawa kiongozi... Kwel naona screenshots nyingi ni za princessbet
Kweli mkuu,
M- bet sio kampuni rafiki kwa mtu aliye serious na betting.

Pia, wawekezaji wengi wa humu ndani walishaacha zamani hizo falsafa za kusaka mamilioni kwa buku.

Wengi wetu humu, tunacheza na Odds 2.0 mpk odd 3.0

kwny MKEKA mmoja tu wenye mechi 2 mpk 3 tu.
 
Anhaa. Tuko pamoja mkuu
 
f6a577dde5b85c091a72cb9577a6c4ad.jpg
Hapo vp wakuu?
Znatoka 98.99%
 
Nimtoe nani hapo nataka niweke mzigo ninashida na fweza.
 
Attachments

  • Screenshot_20180110-133737-01.jpeg
    Screenshot_20180110-133737-01.jpeg
    34.3 KB · Views: 26
Urgent please [emoji116][emoji116]
Wakuu naomba kusaidiwa namba ya customer service ya premier bet
 
Back
Top Bottom