Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nilishawapigania wanangu wako shule now acha baba aanze kucheza na muhindi sasa, wakorea nafikiri hatudaiani 90k kakalishwa bwana kanji much thanx to all my fellow fighters DeepPond, Mr Wise et al bila kumsahau rafiki yangu Mr. ZZ Rumisha muhaya pekee ndani ya jukwaa
 

Mr. Varius bwana! Hongera sana mkuu! Mapambano wacha yaendelee.

NB: Mie Ngosha siyo Muhaya
 


Hahahaha ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…