Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Poa mkuu,
Ntafanya hivo.

Hii mechi tokea Jana usiku nlikua naimezea sn mate.

Odds alizopewa phoebus zlkua ni nyingi mno kulinganisha na uwezo wake.

Hongera sana, hlf lazima nikiri kuwa una jicho la ziada. Hiyo game hata ningeichambua vipi nisingeweza kufikia hitimisho lako ulilofikia. Mwenyezi Mungu azidi kukuongoza ili jukwaa lipate manufaa
 
kiaje mkuu ni ushauri tu anaweza asiuzingatie hata kwa asiliimia 1.

kumwonesha sehem nyingine anakoweza kupata mapato zaidi kupitia uchambuzi wake ni kutumwa na muhindi? duh!!!

Sasa wewe Unafikiri akishaanza biashara ya kuuza utaalamu wake humu jukwaani tutabaki salama?

Itakuwa haina maana kwa yeye kushare bure utaalamu wake humu jukwaani hlf ategemee kupata wateja hapo hapo.

Wateja wenyewe ndiyo sisi, watu wengine sijui huwa mnatokea wapi ninyi
 
Hivi wakisema Who win rest of the match wanamaanisha nini?

Maana yake matokeo yoyote yaliyopo muda huo yanafutwa na mechi inakuwa 0-0, kwahiyo unaibetia hapo 1 ashinde nyumbani, X itoe droo au 2 ashinde wa ugenini
 
sio lazima kuuza mkuu hapa jf hawauzi chochote na wanatengeneza faida.
 
Wale wenzangu mlonifata pia ktk mkeka No.1

Hii mechi ya mobis nliiweka pia kwny mkeka no.1 na tayr imeshatick.

Twendelee kuwasubir hao wengine
 
Hongera sana, hlf lazima nikiri kuwa una jicho la ziada. Hiyo game hata ningeichambua vipi nisingeweza kufikia hitimisho lako ulilofikia. Mwenyezi Mungu azidi kukuongoza ili jukwaa lipate manufaa
Ameen,
Mungu yuko pamoja nasi.

Hakika mapambano yanaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…