Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tuchek zlzo toka kwangu na kwako zkiwa sw hzo ndio tuzchomoe kupata m1
Mkuu naomba ufafanuzi , nimekwenda kwenye tawi la meridian nikakuta kuna watu wana mkeka wa timu nyingi lakini wanabet option ya at least some zishinde. Je ukiwa unacheza mwenyewe hiyo option ninaipata wapi kwenye hii website yao?
 
Wakuu wenye fixture za muhindi naomba odds za handicup za bayern munich bristol city preston cska na hearts
 
Saaaante mzee nimekuelewa...ila naimba nikuswalike kaswali kamoko 24 kwenye cross pick inamaanisha nini?

Kipindi cha kwanza na cha pili magoli yawe sawa yaani yalingane, kama kipindi cha kwanza yalifungwa magoli 2 basi na kipindi cha pili yafungwe 2...
 
Galatasalay
Juventus
Atletico
Benfica
Bayern
Twente
Bristo
Bourne
 
Wazee wa soccer nawatamani ila naiogopa soccer kama nini!

Nimecheza basket Over ya wa-Philippino, pona pona yangu jamaa wamedroo tena mara mbili ndiyo point zimezidi.
 
Wazee wa soccer nawatamani ila naiogopa soccer kama nini!

Nimecheza basket Over ya wa-Philippino, pona pona yangu jamaa wamedroo tena mara mbili ndiyo point zimezidi.

Talk n text vs purefoods, Jamaa wamenipa pesa ya mapema sana.
 
Root naomba odds za cska bayern preston bristol city na heart handicup
 
Last edited by a moderator:
Talk n text vs purefoods, Jamaa wamenipa pesa ya mapema sana.

Hao hao! Mimi game zangu za basket ndo hizo za Philippines, South Korea na NBA!

Kesho kuna game 2 za Philippines, moja saa nne asubuhi na nyingine saa sita mchana. Kwa hiyo nategemea hela ntakayoipata kwa GSW niipeleke huko.

Mbinu ambayo mara nyingi naitumia kuicheza kwa hawa ni kutegea quarter ishuke points mpaka 38-41, ikifikia hapa tu naweka over. Na mara nyingi hawaniangushi.
 
Iogope hivo hivo, coz ukiwa addicted ni soo, unatamani hata hela ya menu ubetie
 
FixtureOddSelectionBet closes at
Cska Moscow - Mordovia Saransk1.32Cska Moscow WinMar 14, 2015 - 3:55 pm
Middlesbrough - Ipswich1.72Middlesbrough WinMar 14, 2015 - 3:10 pm
Crystal Palace - Qpr1.67Crystal Palace WinMar 14, 2015 - 3:40 pm
Ergotelis - Panathinaikos1.42Ergotelis LoseMar 14, 2015 - 3:55 pm

Leo nachukua changu mapema
 

Hongera sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…