Mkuu,[emoji39] [emoji122] [emoji122]
Nitashukuru sana ni vyema ukanifafanulia malipo yanafanyikaje na how to play the option chief....Kuna sehemu inaitwa live betting.
Kwny corner ya kushoto kwa juu.
Usjali, nkpata wasaa ntakuelekeza vzur mkuu
Thank you,
Ila natamani sana angalau wangekua wamenifata hats watu wanne kwny ule ushauri.
Nafsi yangu ingefarijika zaidi.
HELA YA MUHINDI, MKIMPIGA WENGI KWA PAMOJA INAPENDEZA SANA.
Hongera sana mkuu kweli hii bizness nzuri.MREJESHO........
Option zote nlizosema hapo juu zimetick.
3rd quarter- over 40.5 imetick
Full time - mobis Phoebus kashinda mechi.
Na furaha kusema kwamba hatimae BET WOOOOOOON.
Hongera sana mlonifata ktk huu ushauri.
Hakika mapambano yanaendelea
View attachment 673067
Hongera sana chief kiukweli hzo stake mimi binafsi nimebaki natetemeka tu hadi makalio loo aseeeAsante sana mkuu....
Nmemkunja miwili kwa mkupuo.
1. Stake 250k- marejesho 500k
2.stake 400k- marejesho 712k
Faida jumla ni 562 within 2 hrs
Hongera sana,leo mhindi umempatiaMwanzoni, roho ilkua inasita sana mpaka nikawa na kitete mkononi.
Ila nkajilipua tu,
Mwingine huu hapa....
Over 43.5 third quarter imetick
View attachment 673071
Mkuu nilichelewa wakorea hebu ya europa tusiikoseWakuu,
Europa kwny kikapu,
Kwa haraka haraka naona km kuna game nyngn ya pesa ndefu mno.
Hebu niifanyie utafiti wa kutosha kwanza
afu nkiridhika nayo ntawamwagia hapa jukwaani
Baridi imenipiga nikalala sema nimekuta kijana kinachoniuma hawa wachina aseeeover 160.5 tayar nayo ishatick
Tuko pamoja mkuuHongera sana mkuu kweli hii bizness nzuri.
Asante kwa kutoonesha njia.
Mi nimepitwa mkuu ,natamani saiz kila ningeseti simu mtu akichangia kwenye hili jukwaa nipate ujumbe hela kubet mchana ni vizuri kuliko usiku unalala bila pressureThank you,
Ila natamani sana angalau wangekua wamenifata hats watu wanne kwny ule ushauri.
Nafsi yangu ingefarijika zaidi.
HELA YA MUHINDI, MKIMPIGA WENGI KWA PAMOJA INAPENDEZA SANA.
Hongera sana chief kiukweli hzo stake mimi binafsi nimebaki natetemeka tu hadi makalio loo aseee
Mkuu we acha si mchezo aisee hahahaHa ha ha umenifanya nicheke mno
Mkuu unatutia moyo sana nasi tujizatiti kistake leo muhindi kapigwa chuma za kutosha naamini huu mwendo akipelekwa nao siku 3 mfululizo atafunga kampuni. Let's keep it moving broWakuu,
Europa kwny kikapu,
Kwa haraka haraka naona km kuna game nyngn ya pesa ndefu mno.
Hebu niifanyie utafiti wa kutosha kwanza
afu nkiridhika nayo ntawamwagia hapa jukwaani
Ngoja tujaribu tena InPlay ya wachina