Daah nimepishana na gari la mshahara.Mwanzoni, roho ilkua inasita sana mpaka nikawa na kitete mkononi.
Ila nkajilipua tu,
Mwingine huu hapa....
Over 43.5 third quarter imetick
View attachment 673071
Hata mm hao teijin wamebalanzia ***** zaoMission Failed !
Ilibaki kdg wote waend OT ... ingependeza sn !
Hata mm hao teijin wamebalanzia ***** zao
Yan wamekata kufka 216
Kweli aiseeee Yan af na under yao ilikua na odds nzur sana n uoga wetu tuHalafu nilitoka kucomment kuwa hawa wote ni Under 215 ...lkn nlichokifanya ni tofauti. Km ni kurogwa basi tunarogeka vzr sn
Buddy ushauri wako umesaidia sana. AsanteHalafu nilitoka kucomment kuwa hawa wote ni Under 215 ...lkn nlichokifanya ni tofauti. Km ni kurogwa basi tunarogeka vzr sn
Tuko pamoja mkuuMkuu unatutia moyo sana nasi tujizatiti kistake leo muhindi kapigwa chuma za kutosha naamini huu mwendo akipelekwa nao siku 3 mfululizo atafunga kampuni. Let's keep it moving bro
Baba nakushauri katurbo usijejilaum chukua pesa unayopata gawa kwa hyo odd ambayo mechi haujachezwa upate stake nyingineWaheshimiwa nina mkeka wa meridianbet nilicheza basket pekee mechi 8,niliunganisha za jana na ya leo moja.Za jana 7 zote zimetick.Bado game moja tu ya Euroleague PANATHINAIKOS Vs BARCELONA,saa 4 usiku..nilimpa Panathinaikos ushindi.Wenye maarifa na hizi game za Euroleague tafadhali nishaurini kuhusu mechi hii...nisubiri ama nikafanye turbo payout japo nipo mbali na huduma
Fanya tu turbo uambulie kdogo kuliko ukose kabsaWaheshimiwa nina mkeka wa meridianbet nilicheza basket pekee mechi 8,niliunganisha za jana na ya leo moja.Za jana 7 zote zimetick.Bado game moja tu ya Euroleague PANATHINAIKOS Vs BARCELONA,saa 4 usiku..nilimpa Panathinaikos ushindi.Wenye maarifa na hizi game za Euroleague tafadhali nishaurini kuhusu mechi hii...nisubiri ama nikafanye turbo payout japo nipo mbali na huduma
Buddy ushauri wako umesaidia sana. Asante
Wazee wenzangu, hapa vipiiiiii
Ulimpa ushindi wa aina gani.Waheshimiwa nina mkeka wa meridianbet nilicheza basket pekee mechi 8,niliunganisha za jana na ya leo moja.Za jana 7 zote zimetick.Bado game moja tu ya Euroleague PANATHINAIKOS Vs BARCELONA,saa 4 usiku..nilimpa Panathinaikos ushindi.Wenye maarifa na hizi game za Euroleague tafadhali nishaurini kuhusu mechi hii...nisubiri ama nikafanye turbo payout japo nipo mbali na huduma
DeepPond nimekuelewa ila naomba uscreenshort sample ya hz game princesWAKUU,
kwenye michuano ya Euro league upande wa Basketball naiona mechi ya
"Valencia vs Fernabance"
Inachezwa usiku,SAA 4:45
Hii mechi naona MUHINDI ameingia mkenge kwa kumpa fernabance odd kubwa kiasi kile.
Na naiona kabisa hii game, fernabance anashinda kwa kishindo kabisa
Tena kwa difference kubwa sn tu ya point za vikapu.
Kwann nasema hivo?
Hii ni kwasababu,
Katika takwimu za viwango vya ubora wa club za basketball barani Europe kwa sasa.
Fernabance anashika nafas ya 5, Pia kwa form alokua nayo kwa sasa.
Namuona kabisa fernabance akiwa ktk top 3 ya club bora zaidi barani ulaya.
Ukiachilia mbali siasa za wahispania ktk fitna za upangaji wa ranks ndani ya mpira wa kikapu.
Ili waonekane wao ndo bora sana.
Kwann nasema hivo?
Hii ni kutokana na form Kali sana alyonayo fernabance kwa hivo sasa.
Fernabance ktk mechi 15 zilizopita ,
Ameshinda mechi 12 na kupoteza mechi 3 tu.
Na hizo mechi 3 pekee alzopoteza, amepoteza kwa mbinde sn
Na alkua akicheza na club bora sn europe ktk kikapu.
Tena kapoteza kwa tofaut ndogo sn ya point za vikapu .
MF:
mechi alopoteza na Real Madrid hivi amepoteza kwa tofauti ya vikapu 2 tu.
TUGEUKIE SASA KWA VALENCIA,
Huyu Valencia ukimwangalia kwa sasa, hali yake ni mbaya mno.
Huyu Valencia ktk mechi zake 11 zilizopita.
Valencia amepoteza mechi 7, na hata hzo mechi zenyewe 4 zilizobaki alzoshinda.
Ameshinda kwa mbinde sana akiwa home ground,ukzngatia kwamba pia alkutana na timu dhaifu.
Kwahyo tunaona,kua bado home advantage haimsaidii sana Valencia .
Kingine ni kwamba,
HEAD TO HEAD
Kwny head to head ilopita,
tumeshuhudia fernabance akimshughurikia Valencia kwa kichapo cha mbwa mwizi.
Fernabance alishinda hiyo mechi kwa difference kubwa sn ya point 13 dhidi ya Valencia.
Na baada ya hapo, fernabance amekua ktk fomu Kali sana na tishio barani ulaya.
MY TAKE,
Hii mechi fernabance anashinda moja kwa moja, tena bila haja ya extra time.
Tena anashinda kwa ushindi wa zaidi ya diff ya point 5 mpk 15.
Hitimisho,
Unaweza icheza handicap ya -3.5 kwa fernabance kushinda mechi.
-Stake unatia ya kawaida
Au kama ni muoga,
Unaweza kumpa direct 3way win
- stake unatia kubwa
Au kama ni muoga zaidi,
Unaweza kumpa direct 2 way win
-stake unatia mlima.
NATUMAI TUKO PAMOJA WAKUU.
Nenda kwny basketball .DeepPond nimekuelewa ila naomba uscreenshort sample ya hz game princes
Nilimpa 2 way...yaani Home including OTUlimpa ushindi wa aina gani.
2 way au 3 way?
HahahahaahahahHahaha BIG UP mkuu ... mm nmejichanganya mwenyewe tu, ilikuwa nimpige tena.
Nacheka kwa sbb nmekumbuka ule usemi baadhi ya wachungaji (makanisani) wanasema "Fuata mafundisho yangu lkn sio matendo yangu" ... nilichokisema na nilichokitenda ni tofauti. Ila nilisukumwa na hofu kwamba wangeweza kwnd OT baada ya kuona wanaenda na difference ndogo ya pts
Mungu akubariki broNenda kwny basketball .
Chagua upande wa international.
Chagua euro league
Zote utzkuta hapo
WonTujaribu hii
Indonesia vs Iceland
Iceland 1.42 odds
South Korea vs Vietnam
South Korea 1.26
Total 1.78