Ni kweli hata mm sipendelei sn direct win ...lkn hizi leo sijazielewa upande wa Over/Under ...yasije kuwa yale ya kuwapa Over 205.5 af unakuta wamefungana 98-87
Mkuu,
Usiogope...
Hii mechi ya San antoni spurs INA uwezekano mkubwa wa kutoa *under 211.5"
Kwann nasema hivo?
Hii ni kwasababu spurs ni big team ukilinganisha na Los angels Lakers
Ila ukimwangalia spurs kwa makini, utagundua kua kwa sasa hayuko fit 100% kuweza kutupia vikapu Vingi.
Hii ni kutokana na wote kua na graph za ufungaji kushuka mechi baada ya mechi.
Nadhan hii inaweza kua inasababishwa na kucheza mechi tough sn mfururizo.
Kwahyo, nategemea watacheza kwa kudefense zaidi kuliko kushambulia.
Katika mechi 8 zlzopita walizocheza spurs away,
tumeshuhudia under 211.5 katika mechi 6
Over 211.5 imejitokeza pekee kwny mechi ya Portland blazer na mechi ya 76 ERS
Mechi ilopita ya L.A lakers dhidi ya Sacramento
Imeshuhudia nayo ilitoa under 211.5, hyo mechi ilitoa point 185 tu.
Pia ukiangalia kwny last head to head match.
Utagundua kua ilitoa under 211.5, Hiyo mechi ilitoa point 197 tu.
Kingine ni kwamba,
Kwa sasa defense ya spurs iko imara sana.
Kwahyo sitegemei kuona wakiruhusu vikapu Vingi golini kwao.
MY TAKE,
Hii mechi naiona haitazidi point 211.5,
Naiona kabisa ikitoa under 211.5
Ila kwa tahadhari zaidi,
imenibidi niweke "Under 217.5"