Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mnatumia akili nyingi kupata pesa dah mkeka siuwezi lbd niende shule ya betting maana sielewii
 
Kama ni hivyo mkwanja wangu watarudisha maana wamechukua stake yangu chief....
Kama wamechukua basi mkeka bado upo.

Princess hawana hzo tabia,

Hizo ziko tabia m-bet

Cha kufanya,
Refresh browser yako kisha nenda tena kwny bet history

Nna imani utaukuta mkeka wako
 
Every little helps brothers.
88c95cf694b6c352cb25e2c50a11aca2.jpg
 
Mmeshaamka wakubwa?
NBA haieleweki kwa mechi zilizobakia ngoja nijaribu hivi kwa low stake

Sacramento Kings - Los
Angeles Clippers
First Quarter Result
Los Angeles
Clippers
1.91

Toronto Raptors - Cleveland
Cavaliers
Draw No Bet In First
Quarter
Toronto Raptors
1.99

Los Angeles Lakers - San
Antonio Spurs
Draw No Bet In First
Quarter
Los Angeles
Lakers
2.00

Combination Odds 7.6
mkuu naona mambo yanaenda vzr
 
Princess wamezngua sn .

Mm mwnyw mwishoni kwa 2rd quarter hzo odd nmeziona.

Nkachapa stake 100k,nkajaribu sn network ikagoma.

Ikabd niachane nayo
Hilo tatizo cha kufanya hakikisha kwenye simu yako unakuwa na app ya princess ukiona net inazingua unakimbilia kwenye app huko hakuna usumbufu wa net nimeexprince hicho kitu.Ingawa kuna mdau hapa alitilia shaka matumizi ya app kwa usalama wa pesa zake ingawa hakufafanua nini kinaweza kutokea ikiwa atatumia app.
 
NA MB ZA KUTOSHA MSISTIZOO TU
 
Back
Top Bottom