Mkuu,
NIKUTOE HOFU NDUGU YANGU.
Hiyo mechi Barcelona hachomoki kabisa.
Panathinaikos ni timu chipukiz ktk hii michuano.
Na imeleta mapinduz makubwa sn upande wa basket Europe.
Huyu panathinaikos akiwa home ground ni tishio sana.
Amecheza mechi 23 hapo kwake.
Ameshinda mechi 20, Tena bila hata extra time.
Ameshinda mechi 13 mfurulizo,
Akipoteza mechi 3 tu.
Tena akipoteza dhidi ya majabali ya basket Europe.
Tena ilkua ni kipindi ambacho alkua na injuries wengi kwny timu.
Hzo mechi 3 Amepoteza dhidi ya CSKA Moscow ,unic Kazan na Darussafaka.
Huyo darussafaka nae amekuja kumfunga kwny extra time.
Na hzo mechi zenyewe alzopoteza ni long time ago.
Kwa sasa,
Panathinaikos yuko on fire.
Wakubwa na wakongwe wa kikapu barani ulaya wamechezea vichapo hapo uwanjani kwake.
MF:
real Madrid, fernabance, olympiacos na wengineo wengi.
Timu ambayo inamsumbua sana panathinaikos hapo nyumbani kwake ni CSKA Moscow.
Hawa ndo msalaba pekee wa jumuia kule Europe, wanapita kila nyumba na kufanya ubatizo.
Ila kwa Barcelona sioni kabisa akifurukuta hapo.
Ushauri,
Muache panathinaikos ashinde hyo mechi upige pesa.
Plan B,
Kama unaogopa sana,
nakuomba usiturbo huo mkeka.
Ni bora niuzie mimi huo mkeka, maana nnashida sana na pesa kipindi hiki.
NIKO TAYAR KUUNUNUA MKUU.