Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
BET WON
premierbet wamenikaribisha vizuri baada ya kuwakimbia kwa wiki 2 nzima
BIG UP sana Chief ... jana baada ya kupitia pitia tena, nikahisi SAS watazingua maana walikuwa wanamiss key guard player ... na game ya Cavs sikuielewa, ikabidi nilale kiroho safi kuinusuru stake.