avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,848
- 15,949
Kote huko ndio anga zangu mkuu, ligi za urasi hockey ninapenda kucheza under 5.5, marekani, canada , na germany huwa napenda kucheza over 5.5 basket ndio nayo haitabiriki kucheza matimu mengi lakini timu moja moja waweza kupata kitu ambacho mimi huwa siwezi kufuraha BET won halafu output yake ni 20,000/=nimekusoma mkuu, mimi huwa natambaa na basket na hocky, mpira pasua. ngoja nizichunguze volleyball zinavyoenda pia, ila mimi ni muumini wa kucheza game maxmum 3, mara nyingi nacheza 1 au 2