Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
kaka hizo option huwa zinamanisha nini yani 3 ways-2.ufafanuzi tafadhali![]()
Wadau nani mchawi hapo kabla sija place bet aseee
kaka hizo option huwa zinamanisha nini yani 3 ways-2.ufafanuzi tafadhali![]()
Wadau nani mchawi hapo kabla sija place bet aseee
Valerenga IF v Strommen IF
Totals 2,5 - Over
Odds 1.3
kaka hizo option huwa zinamanisha nini yani 3 ways-2.ufafanuzi tafadhali
ok thanks3-WAY
Maana yake unachagua Choice mojawapo kati ya hzi 3 kwenye slip yako
Home Win ama
Draw ama
Away Win
Free advice:AYA SASA WATU WASHASTAKE NYUMBA NA MATOKEO N 1-0,
HAPO NDO UTAKAPOJUA HUU MCHEZO HAUFAI KUWEKA TAMAA MBELE
Free advice:
"Stake what u can afford to loose"
Leo nabet
Dah! Jamaa alkuw anaweka stake za hatar nn?Mkuu unataka kurudi kwenye game nakumbuka zile stake zako miaka ile hahaha
Dah! Jamaa alkuw anaweka stake za hatar nn?
Karibu tena mkuuLeo nabet
Inaonekana hata pesa alkuw anapga sana sio kama zangu za jero mia mbili hahahahaaaa.Stake zake ilikua balaa akina buddy wanamkumbuka vzr
Na ujue leo lewondoski hata cheza![]()
Hii match ya LEVERKUSEN ni tricky sana. Takwimu zinaonesha kwenye mechi tano walizokutana hivi karibuni BEYERN hajashinda akiwa ugenini na wala hajatoa over 1.5.
Huyu LEVERKUSEN hajapoteza game hata moja kwenye last 5 matches lakini ameweza kumtoa kwenye DFB POKAL huyu mbabe wa BAYERN(Monchenladbach).
NOTE: Safe bet kwenye game hii ni corner. Mpe Bayern over 5.5 corner