Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

MKEKA WA PESA No.1

Odds: 2.04

Stake: 75,000 Tsh
Marejesho: 153,000 Tsh

NB: ;
Uyo wa kwanza ni football Holland
Uyo wa pili ni hockey Denmark
Uyo wa tatu ni basket Spain

Mapambano yanaendelea
Screenshot_20180112-145011.png
 
MKEKA WA VOCHA

wazee wa single bet, twende kazini.

Odd: 1.25

Stake: 100,000 Tsh
Marejesho: 125,000 Tsh

NB:
weka stake mlima zaidi for maximum output

Hii game inawz kutoa hata over 4.5

Mapambano yanaendelea

View attachment 673686
MREJESHO......

*****BET WOOOOON******

Hongera sana mlonifata ktk huu mkeka wa hela ya vocha

Mapambano yanaendelea
2018-01-12-15-02-03.jpg
 
Wazee wa Erstedevise
Leo pesa ipo kule tuingieni chimbo by saa1 mpka saa2 tuanze kupost mashambuliz mpka khanji mwenyew akubali
Nb game zao zina anza saa4
 
wadau hivi hawa premier bet online leo hamna withdraw inafanyika kuna kahela nime draw leo asubuhi hadi sasa sijakapata au ndio hadi juma 3-maana hawa jamaa hata mawasiliano huwa ni shida
 
Back
Top Bottom