Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ni heri kuweka ijumaa hadi ya jumapili!!
Asubuhi ulikua Poa tu

Wengine tunacheza live hasa kwenye kikapu na siku za weekend ambapo umepumzika kazi ndo mtandao unazingua.

Hata hivyo wamerekebisha kiasi.
 
Meridian kila nikiweka mkeka timu zinajifuta!!!
mkuu nimepata hasira sana jioni kila nikibet kuna maandishi yanatokea closed halafu timu zinajifuta, timu zote nilizoandaa zimetoa hivyo nimekosa laki 5 hivihivi
 
Allhamdulilaah muhindi na mzungu wamenigonga za USO kama kawa kama dawa... Mimi sikati tamaaa IPO siku nitawagonga pia,, PONGEZI KWENU L.MOSCOW kwa mlichonitenda
 
dah Mkuu tunaendelea kuuombea mkeka ktk jina la mwenyez Mungu lazma utusue

Mpaka halftime Man City hakijaeleweka, nashukuru kwa maombi mkuu, ukiona mkeka umejibu tu nirushie namba PM upate supu au mchemsho.
 
Mpaka halftime Man City hakijaeleweka, nashukuru kwa maombi mkuu, ukiona mkeka umejibu tu nirushie namba PM upate supu au mchemsho.
Ngoja maombi yaelekee kwa man city sasa maana naona juve kashmaliza kaz
 
City ni moja ya timu zilisababisha niache kubet soccer alivyo draw na QPR, leo ananirudia! Duh!

Nilikuwa nataka niwape Goal in both halves yeye na Barca lakini nikashtuka.. Nikaona hii pesa ngoja niitupe kwa GSW tu kwa leo... Over 110
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…